TCRA: Ripoti utapeli kwenye namba 15040

TCRA: Ripoti utapeli kwenye namba 15040

Yalionekana kwenye website yao labda kama wameondoa zile picha maana kipindi cha uchaguzi baadhi ya wadau humuhumu jukwaani walisema yanapikiwa ubwabwa kwa ajili ya wapigakura wa chama dume
Anha itakua ni yao maana vipeperushu vingi vya TCRA vinahayo magari.
 
Kwani tunavyotapeliwa vifurushi hawaoni? [emoji2962][emoji2962][emoji2962][emoji21]
 
Wakuu hii huduma bado inafanya kazi.
Nimeamua kuwashughulikia hawa matapeli
 
Haimaanishi kuwa wao hawatumiwi, mbona hata polisi wanaibiwa ila bado wanakamata wahalifu, tena recent kuna traffic police Kenya kaibiwa simu wakati yupo barabarani. Ripoti hizo namba unaweza kuokoa wengi kupigwa
Siripoti ujinga Technology imekua kama wameshindwa kuwakamata waendelee na mazoea yao yaani namba ya tuma hela kwenye namba hii wahuni wanaitumia mwaka mzima hawakamatwi harafu mimi nitoe taarifa ya nini kama sio ujinga ni nini? vifaa vya kisasa wanavyo wanataka sisi tufanye nini
 
Back
Top Bottom