MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Voda wamerudisha mkuu,rudi homeMie niliamua hadi kununua line ya halotel maana niliona tgo na voda kama wamegoma hivi.
Internet bundles bado ni shida voda. Tena kubwa. NahamaVoda wamerudisha mkuu,rudi home
Aaah GB 3 kwa wiki ,buku 3 unatakaje sasa?Internet bundles bado ni shida voda. Tena kubwa. Nahama
Aaah GB 3 kwa wiki ,buku 3 unatakaje sasa?
Au buku jero kwa wiki 1GB,dakika voda voda and aza netiweki......
Mbona mimi sizioni hiziAaah GB 3 kwa wiki ,buku 3 unatakaje sasa?
Au buku jero kwa wiki 1GB,dakika voda voda and aza netiweki......
Pole, mi zimeshaonekana tangu mchanaMbona mimi sizioni hizi
View attachment 1768380
Kichwa Cha habari kilipaswa kuwa..TCRA yasalimu amri kwa makampuni ya simu.
Hawa TCRA Wanatuona sisi wanyonge ni wajinga sana,View attachment 1768380
Kichwa Cha habari kilipaswa kuwa..TCRA yasalimu amri kwa makampuni ya simu.
Tatizo jingine kwa hawa tigo ni huo upuuzi wao wa LONGA NAEWell, tigo walikuwa wananipa 900 min, 9GB na SMS 500 kwa mwezi 20,000, wakapunguza wakawa wananipa dakika hizo hizo na SMS pia ila GB wakawa wananipa 4 kwa bei hiyo hiyo 20,000 kwa mwezi.
Ila tangu juzi naona wamerudisha na kama wameongeza bundle kidogo, nimejiunga jana nimepata 1500 min, SMS 500 na GB 10 kwa 20,000/month.
Therefore inategemea line na line may be...!
View attachment 1768392