Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USSD code ipi?Voda wamerudisha mkuu,rudi home
Tatizo jingine kwa hawa tigo ni huo upuuzi wao wa LONGA NAE
Naamini kabisa lilikuwa wazo la mtukufu wala sio wazo la waziri nduguyule kuhusu kupanda kwa vifulushi ili vijana tukachimbe vyoo ndio tuonekane kwamba tunaendana na hapa kazi tu. kwamaana kabla hajatutoloka kunabaazi ya vibwengo walikuwa wanatafuta kiki kwa kusema vijana niwavivu. hivyo angekuwepo angeshangilia nakusema pigeni kazi acheni uvivu.Na free basics voda wamefreeze kabisa hivi TCRA wanashangaza vimerudi kawaida kivp?INA maana hawakuwa na copy ya zamani kuwa vifurushi vinakuwaje wajaribu kulinganisha? Kila siku wanaimba vimerudi halafu hamna kitu kuna SAA namkumbuka sio siri japo na ukorofi wake ila angeshalisolve ndani ya siku chache na huyu Ndugire sijui ndungu...e angeshatumbuliwa wanatuona watoto mno...siyo kwa ubaya apumzike kwa amani
Voda wamerudisha ? Au kwenye kurudisha namba yangu imesahaulika ?Voda wamerudisha mkuu,rudi home
Halotel bado, nenda Royal haijarudi Kama zamani. Washenzi waongoSasa airtel mbona vilevile,ngoja nihamie hallotel tu aiseeeeee