TCRA: Tumia simu vizuri, ukimdhalilisha mwanamke mtandaoni jela inakuhusu

Mtu anapigwa spana kutokana na hoja yake na wala sio kwasababu na jinsia yake.

Spana ziendelee!
 
kwa hiyo mwanamke akijipost anakatikia chupa, ukimkanya ni kosa na kumdhalilisha?

Badala yake unatakiwa kumpongeza na kumsifia kwa miuno minginyu minginyu...
Inasikitisha sana...
 
tatizo na wenyewe wanakura kwahaohao wanawake... hivyo hofu inatawala
 
Asitutetee sana muda mwingine wanawake wenyewe tunajidhalilisha
 
USAWA WA KIJINSIA UPO WAPI HAPO. Mwanamke akidhalilishwa ni kosa lakini mwanaume akizalilishwa ni sawa tu ! ajabu kweli yani. ni wanaume wangapi wanadhalilishwa na hao wanawake na hamna anayelalamikia hilo swala inshu ni kuweka usawa kwa jinsia zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…