TCRA tusaidieni na haya matusi tunayotukanwa na matapeli

TCRA tusaidieni na haya matusi tunayotukanwa na matapeli

Tena yale matusi huanzia na herufi k
Mbwa sana wale. Mara zote hukimbilia kukutukania mama mzazi. Mimi nikipokea simu na kukuta jitu linaleta ujinga wake, silipi nafasi! Maana litanipotezea tu muda wangu, na pia nitalipa nafasi ya kunitukana.

Badala yake nakata simu mara moja na kuli block.
 
Mimi natanguliza matusi mbele kwa mbele nikishamshtukia, tena namtukania mama yake na kushinikiza humo humo matusi mazito mazito, hamna namna nyingine.....hata kwetu Kenya wamekua kero.
 
Mimi huwa nawasikiliza huku nikijidai kufuata maelekezo wanayonipa kumbe Mimi hata sifanyi chochote.

Hapo namlia timing ili tuongee hata dakika kidogo halafu natukana matusi mazito kabla yeye hajatukana ili na wao wapate changamoto.
Teteee counter attacks.....😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom