Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
CCM is Nazis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazi tunayoNi mimi sijaelewa au ni nini? Inamaana hakuna blog wala online tv itafunguliwa kwa miezi sita?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inawaka waka Chato ai mama...inapendeza chato ai mama Jua lile literemke mama..[emoji443][emoji443][emoji445]
TCRA kimekuwa chombo cha kusitisha ajira ambazo chenyewe na serikali haviwezi kutoa.Wana bodi,
Hivi karibuni, mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ilifanya maamuzi ya kusitisha kutoa leseni mpya kwa online TVs na Blogs zote nchini. Inasemekana kwamba maamuzi haya yalifanywa kutatua tatizo la ukiukwaji wa maadili na kanuni. Kama mtumiaji wa huduma zinazo tolewa na vyombo hivi vya habari ninajiuliza kama maamuzi yenyewe yalifanywa kwa kufata kanuni zilizopo au ni maamuzi holela yaliyo fanywa na watu wachache.
Mfano mkubwa wa sehemu ambayo ni blog ila sio blog rasmi ni Jamii Forum yenyewe. Nina fikiri kwamba kwa kawaida kwenye kitengo chochote, lazima adhabu nyingi ziwepo (kama vile faini na suspensions kwa vyombo husika) kabla ya maamuzi ya mwisho ya kuamua kufungia chombo chochote cha habari. Vile vile ni muhimu kwa TCRA kuwa na kanuni kwa ajili ya vyombo hivi vya habari kabla ya kuchukua maamuzi yoyote.
.
Mawazo finyu kabisa.Naunga mkono huo uamuzi wa TCRA, hivyo vi blogs vimekuwa vingi havina habari zozote za maana, na zaidi hata wana habari wao kuandika maneno ya kiswahili hawajui.
Wanachanganya sana herufi "r" na "L" wanachojua wao ni kuwaambia watazamaji wao "subscribe" to view more videos like this, wakati video zenyewe ni umbea mtupu.
Inshort, hakuna elimu yoyote ya maana inayopatikana kwenye hivyo vi blog, zaidi ya wao binafsi kuangalia namna ya kujinufaisha kibiashara but in a very wrong way, kama ni suala la kujiajiri muhimu wafuate misingi.
Tunamchosha Mungu kwa ujinga wa CCMMungu ibariki Tanzania
Nawe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Unalazimishwa kuangalia hizo blogs? Mlaji anatakiwa kuwa na uhuru.Naunga mkono huo uamuzi wa TCRA, hivyo vi blogs vimekuwa vingi havina habari zozote za maana, na zaidi hata wana habari wao kuandika maneno ya kiswahili hawajui.
Wanachanganya sana herufi "r" na "L" wanachojua wao ni kuwaambia watazamaji wao "subscribe" to view more videos like this, wakati video zenyewe ni umbea mtupu.
Inshort, hakuna elimu yoyote ya maana inayopatikana kwenye hivyo vi blog, zaidi ya wao binafsi kuangalia namna ya kujinufaisha kibiashara but in a very wrong way, kama ni suala la kujiajiri muhimu wafuate misingi.
Mimi ningedhani waweke vigezo na mashariti magumu ili kuchuja wale wababaishaji kuliko kusitisha kabisa kusajili.Naunga mkono huo uamuzi wa TCRA, hivyo vi blogs vimekuwa vingi havina habari zozote za maana, na zaidi hata wana habari wao kuandika maneno ya kiswahili hawajui.
Wanachanganya sana herufi "r" na "L" wanachojua wao ni kuwaambia watazamaji wao "subscribe" to view more videos like this, wakati video zenyewe ni umbea mtupu.
Inshort, hakuna elimu yoyote ya maana inayopatikana kwenye hivyo vi blog, zaidi ya wao binafsi kuangalia namna ya kujinufaisha kibiashara but in a very wrong way, kama ni suala la kujiajiri muhimu wafuate misingi.
Kwa matusi haya TCRA wasiifungie JF, kweli?Jakaya ndio katufikisha hapa
Yaan Nchi alikabidhiwa mungu wa mingu, mungu wa mababu namababu, anayependa kila Chombo cha habari kimsifiee
Alafu kuna Mbwa wa kijani wa Lumumba wanaowaza kwa matako, utasikia " Vijana Jiajirini kwenye kilimo na ufugaji".....
Kwa kilimo kipi?? Kwa ufugaji upi???? Mim saizi hata uwe ndugu yangu, Ukiniomba hata Mia, HUPATI NG'OOO ili mradi tu niwe najua ni mbwa wa CCM
Huo U-CCM na ufedhuli wake, upeleke hukohuko kmmmake.
Huyajui hata hayo mawazo finyu maana yake nini, huwezi kushindwa kitu kidogo ukaweza kitu kikubwa, ndio maana wameambiwa atleast wawe na elimu ya diploma, serikali kwa hili naiunga mkono asilimia mia moja.Mawazo finyu kabisa.
Mtoto wako akiwa na tatizo la kutamka “l” badala ya “r” unamchinja?
From there I hope ndio watakuja kivingine sasa, wababaishaji wote wachujwe wabaki wachache watakaokuwa na quality inayohitajika kwa mlengwa.Mimi ningedhani waweke vigezo na mashariti magumu ili kuchuja wale wababaishaji kuliko kusitisha kabisa kusajili.
Si kweli, mzee wa msoga namtetea kwa nguvu zote kuhusu hili. Si wa kulaumiwa. Wa kuwalaumu ni wale walioamini na kuaminishwa kuwa asiyekula mbuzi katoliki hawezi kuongoza vizuri. Mkawajaza upepo watu kiasi cha kutotoa chance kwa mzee wa msoga kuweka mtu aliyeamini angewafaa. Haya sasa pambaneni a hali yenu hukohuko.Jakaya ndio katufikisha hapa
Yaan Nchi alikabidhiwa mungu wa mingu, mungu wa mababu namababu, anayependa kila Chombo cha habari kimsifiee
Alafu kuna Mbwa wa kijani wa Lumumba wanaowaza kwa matako, utasikia " Vijana Jiajirini kwenye kilimo na ufugaji".....
Kwa kilimo kipi?? Kwa ufugaji upi???? Mim saizi hata uwe ndugu yangu, Ukiniomba hata Mia, HUPATI NG'OOO ili mradi tu niwe najua ni mbwa wa CCM
Huo U-CCM na ufedhuli wake, upeleke hukohuko kmmmake.
Lazima tuwe forward thinkers.Huyajui hata hayo mawazo finyu maana yake nini, huwezi kushindwa kitu kidogo ukaweza kitu kikubwa, ndio maana wameambiwa atleast wawe na elimu ya diploma, serikali kwa hili naiunga mkono asilimia mia moja.
Sorry kama una ka-blogu kako.
Chato republic wametoa statement zao kama kawaida yani! Mitano ya moto[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TCRA futilia mbali hizo takataka.Nawe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Unalazimishwa kuangalia hizo blogs? Mlaji anatakiwa kuwa na uhuru.
Mbona wapo wengi hawafurahishwi na magazeti ya propaganda kama uhuru, tanzanite, habari leo au TV kama TBC; hawasomi, na hawaangalii lakini wapo wanaoangalia. Mlaji ni lazima awe na uhuru.