TCRA Wafungie API za malipo ya Selcom kwenye app ya Mange Kimambi

mkushite

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2021
Posts
666
Reaction score
1,619
Tunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya Mange Kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata.

Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake.

TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom afunge account inayopokea malipo kwenye app yake full stop.

Haiwezekani huyu mjinga aendelee kuipotosha jamii yetu kijingajinga.

Tafadhali TCRA nawaomba ombi Hilo mlifanyie kazi..
 
Selcom ata kubali kukosa mapato? Kama selcom atafungia basi watalipia kwenye m pesa kwenye MasterCard kwa iyo bado tu watalipia yani nafikiri hakuna namna,nyie mnao ufatilia mange ndio mnapata shida acha kufatilia yule ni kama jini kuna muda utaona kapost sory nzuri utatamani ata ulipie cha msingi usimzingatie
 
Hivi pesa ya bundle ya kufuatilia hizo hadithi za kusadika za mange wanazipata wapi
 
Kwahiyo unataka kuniambia API ya malipo inafahamika kabisa ila tu TCRA anakenua meno kama rojo rojo wa kinondoni?! Aagh, siwezi kuamini hadi ulete ushahidi wa hiyo ‘API’
 
selcom ata kubali kukosa mapato? kama selcom atafungia basi watalipia kwenye m pesa kwenye MasterCard kwa iyo bado tu watalipia yani nafikiri hakuna namna,nyie mnao ufatilia mange ndio mnapata shida acha kufatilia yule ni kama jini kuna muda utaona kapost sory nzuri utatamani ata ulipie cha msingi usimzingatie
Popote watakapohamia kulipia tutafungia pia, simple.., na wakihamia kwenye bitcoin tutapiga kufuli crypto currency all together.
 
Mnahangaika nae sana... Mambo yake muachieni mwenyewe...
 
Mkuu Subiri amchafue mtu wako wa karibu ndio utajua maana ya mambo yake muachieni mwenyewe. Ingekuwa anajichafua mwenyewe unadhani wangehangaika nae? Shida unaita mambo yake wakati ni mambo ya wengine anawachafua

Ukiona sista wako wa damu au mama au baba kachafuliwa utaelewa maana ya mtoa uzi
 
Mkuu Subiri amchafue mtu wako wa karibu ndio utajua maana ya mambo yake muachieni mwenyewe

Ukiona sista wako wa damu au mama au baba kachafuliwa utaelewa maana ya mtoa uzi
Huyo mnaehangaika nae, namjua nje ndani...
 
Kwa kuwa unamjua kihivyo mwambie basi aache kufatilia mambo ya watu na kujipatia hela kwa kuchafua watu.

Yeye akiacha kuhangaika na watu it is obvious watu wataacha kuhangaika nae
Mambo yake muachieni mwenyewe...
 
Mkuu Subiri amchafue mtu wako wa karibu ndio utajua maana ya mambo yake muachieni mwenyewe. Ingekuwa anajichafua mwenyewe unadhani wangehangaika nae? Shida unaita mambo yake wakati ni mambo ya wengine anawachafua

Ukiona sista wako wa damu au mama au baba kachafuliwa utaelewa maana ya mtoa uzi
Wanaochafuliwa wana machafu kibao huwez semewa jambo kama haujihusishi na jambo hilo.
 
Huyo dada keshajua akili za watz zilivyo ndo maana anawatumia kuishi mjini
 
Tunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya mange kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata.

Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake.

TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom afunge account inayopokea malipo kwenye app yake full stop.

Haiwezekani huyu mjinga aendelee kuipotosha jamii yetu kijingajinga.

Tafadhali TCRA nawaomba ombi Hilo mlifanyie kazi..
Kwa dunia ya sasa ni ngumu sana kuzuia malipo ya kimtandao hata facebook wemyewe wanakula pesa huku huku mpesa na tcra wanaangalia tu
 
Huyo dada keshajua akili za watz zilivyo ndo maana anawatumia kuishi mjini
na atakuwa tajiri soon

think kila mwezi anakula sh 1000 za watu 1,000,000

sio mchezo unaweza kukuta analamba hadi bilioni yule msimchukulie poa
 
Mkuu Subiri amchafue mtu wako wa karibu ndio utajua maana ya mambo yake muachieni mwenyewe. Ingekuwa anajichafua mwenyewe unadhani wangehangaika nae? Shida unaita mambo yake wakati ni mambo ya wengine anawachafua

Ukiona sista wako wa damu au mama au baba kachafuliwa utaelewa maana ya mtoa uzi
Sasa Kama mama au sista yangu kajirecord video analiwa why niumie mkuu huo utakua ujinga wake.
mange anapost connection huko Sasa hapo cha kufanya mute tu mkuu
 
Kuna % kubwa ya watu wanarikodiwa kisiri kwa sababu kuna soko la kuuza video.(Wadau wa mange kimambi app na wapiga puli). Hili soko likidhibitiwa huu utaratibu wa kutafuta fedha kwa njia hiyo utakwisha.
 
Wanaojirecord je mkuu au mashoga nao ?
 
Back
Top Bottom