Popote watakapohamia kulipia tutafungia pia, simple.., na wakihamia kwenye bitcoin tutapiga kufuli crypto currency all together.selcom ata kubali kukosa mapato? kama selcom atafungia basi watalipia kwenye m pesa kwenye MasterCard kwa iyo bado tu watalipia yani nafikiri hakuna namna,nyie mnao ufatilia mange ndio mnapata shida acha kufatilia yule ni kama jini kuna muda utaona kapost sory nzuri utatamani ata ulipie cha msingi usimzingatie
Mkuu Subiri amchafue mtu wako wa karibu ndio utajua maana ya mambo yake muachieni mwenyewe. Ingekuwa anajichafua mwenyewe unadhani wangehangaika nae? Shida unaita mambo yake wakati ni mambo ya wengine anawachafuaMnahangaika nae sana... Mambo yake muachieni mwenyewe...
Huyo mnaehangaika nae, namjua nje ndani...Mkuu Subiri amchafue mtu wako wa karibu ndio utajua maana ya mambo yake muachieni mwenyewe
Ukiona sista wako wa damu au mama au baba kachafuliwa utaelewa maana ya mtoa uzi
Kwa kuwa unamjua kihivyo mwambie basi aache kufatilia mambo ya watu na kujipatia hela kwa kuchafua watu.Huyo mnaehangaika nae, namjua nje ndani...
Mambo yake muachieni mwenyewe...Kwa kuwa unamjua kihivyo mwambie basi aache kufatilia mambo ya watu na kujipatia hela kwa kuchafua watu.
Yeye akiacha kuhangaika na watu it is obvious watu wataacha kuhangaika nae
Wanaochafuliwa wana machafu kibao huwez semewa jambo kama haujihusishi na jambo hilo.Mkuu Subiri amchafue mtu wako wa karibu ndio utajua maana ya mambo yake muachieni mwenyewe. Ingekuwa anajichafua mwenyewe unadhani wangehangaika nae? Shida unaita mambo yake wakati ni mambo ya wengine anawachafua
Ukiona sista wako wa damu au mama au baba kachafuliwa utaelewa maana ya mtoa uzi
Hakuna binadamu msafi. Kila binadamu akichunguzwa kuna udhaifu unaoleta aibu fulani na hubaki kuwa siri, kutumia udhaifu huo kutengeneza kipato ni UPUMBAVU.wanaochafuliwa wana machafu kibao huwez semewa jambo kama haujihusishi na jambo hilo.
Kwa dunia ya sasa ni ngumu sana kuzuia malipo ya kimtandao hata facebook wemyewe wanakula pesa huku huku mpesa na tcra wanaangalia tuTunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya mange kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata.
Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake.
TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom afunge account inayopokea malipo kwenye app yake full stop.
Haiwezekani huyu mjinga aendelee kuipotosha jamii yetu kijingajinga.
Tafadhali TCRA nawaomba ombi Hilo mlifanyie kazi..
na atakuwa tajiri soonHuyo dada keshajua akili za watz zilivyo ndo maana anawatumia kuishi mjini
Btc hamna huo uwezo..Popote watakapohamia kulipia tutafungia pia, simple.., na wakihamia kwenye bitcoin tutapiga kufuli crypto currency all together.
Sasa Kama mama au sista yangu kajirecord video analiwa why niumie mkuu huo utakua ujinga wake.Mkuu Subiri amchafue mtu wako wa karibu ndio utajua maana ya mambo yake muachieni mwenyewe. Ingekuwa anajichafua mwenyewe unadhani wangehangaika nae? Shida unaita mambo yake wakati ni mambo ya wengine anawachafua
Ukiona sista wako wa damu au mama au baba kachafuliwa utaelewa maana ya mtoa uzi
Kuna % kubwa ya watu wanarikodiwa kisiri kwa sababu kuna soko la kuuza video.(Wadau wa mange kimambi app na wapiga puli). Hili soko likidhibitiwa huu utaratibu wa kutafuta fedha kwa njia hiyo utakwisha.Sasa Kama mama au sista yangu kajirecord video analiwa why niumie mkuu huo utakua ujinga wake.
mange anapost connection huko Sasa hapo cha kufanya mute tu mkuu
Wanaojirecord je mkuu au mashoga nao ?Kuna % kubwa ya watu wanarikodiwa kisiri kwa sababu kuna soko la kuuza video.(Wadau wa mange kimambi app na wapiga puli). Hili soko likidhibitiwa huu utaratibu wa kutafuta fedha kwa njia hiyo utakwisha.