TCRA wajifunze kwa Waingereza, kampuni ya simu yalambwa bilioni 33 kwa kuwaongezea gharama wateja

TCRA wajifunze kwa Waingereza, kampuni ya simu yalambwa bilioni 33 kwa kuwaongezea gharama wateja

Kwa hiyo unashauri Tume ya bei ivunjwe, kwa kua biashara ni huria!?
Tume ya bei ndio ipi?! Tcra wana kazi nyingi sio kupanga bei tu. Navaa viatu vya mfanyabiashara, kupandisha bei sio kosa muhimu nikufahamishe mteja.
 
Hawa wanafanya biashara pamoja. Yaani TCRA ni kama business partner wa makampuni ya simu, lao moja; huyu anapandisha kodi anamwambia mwenzie we wapandishie garama ufidie hapo.
Tuambie Kodi gani tcra wamepandisha mkuu.
 
Ni biashara huria, lkn lazima izingatie huduma bora na nafuu wa wateja
Huduma Bora na nafuu....ngumu sana kukidhi kila mteja. Muhimu unajua huduma unayonunua ni bei fulani kabla hujanunua.
 
Back
Top Bottom