RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Feb 15, 2021 #21 jkipaji said: Kwa hiyo unashauri Tume ya bei ivunjwe, kwa kua biashara ni huria!? Click to expand... Tume ya bei ndio ipi?! Tcra wana kazi nyingi sio kupanga bei tu. Navaa viatu vya mfanyabiashara, kupandisha bei sio kosa muhimu nikufahamishe mteja.
jkipaji said: Kwa hiyo unashauri Tume ya bei ivunjwe, kwa kua biashara ni huria!? Click to expand... Tume ya bei ndio ipi?! Tcra wana kazi nyingi sio kupanga bei tu. Navaa viatu vya mfanyabiashara, kupandisha bei sio kosa muhimu nikufahamishe mteja.
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Feb 15, 2021 #22 kidadari said: Hawa wanafanya biashara pamoja. Yaani TCRA ni kama business partner wa makampuni ya simu, lao moja; huyu anapandisha kodi anamwambia mwenzie we wapandishie garama ufidie hapo. Click to expand... Tuambie Kodi gani tcra wamepandisha mkuu.
kidadari said: Hawa wanafanya biashara pamoja. Yaani TCRA ni kama business partner wa makampuni ya simu, lao moja; huyu anapandisha kodi anamwambia mwenzie we wapandishie garama ufidie hapo. Click to expand... Tuambie Kodi gani tcra wamepandisha mkuu.
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Feb 15, 2021 #23 Idimi said: Ni biashara huria, lkn lazima izingatie huduma bora na nafuu wa wateja Click to expand... Huduma Bora na nafuu....ngumu sana kukidhi kila mteja. Muhimu unajua huduma unayonunua ni bei fulani kabla hujanunua.
Idimi said: Ni biashara huria, lkn lazima izingatie huduma bora na nafuu wa wateja Click to expand... Huduma Bora na nafuu....ngumu sana kukidhi kila mteja. Muhimu unajua huduma unayonunua ni bei fulani kabla hujanunua.