TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Labda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF na Posta.

IMG-20240723-WA0112.jpg

Pongezi kwa kazi nzuri kwa waliotenguliwa ni kama kashfa kwa Mamlaka ya Uteuzi

Aliyefanya kazi nzuri hatenguliwi, ukitenguliwa ujue kuna kitu hakiko sawa.

PIA SOMA

- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
 
Hii Nchi Imepatwa Na Nini Jamani ?
Kawaida tu
Labda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF na Posta.

View attachment 3050295

Pongezi kwa kazi nzuri kwa waliotenguliwa ni kama kashfa kwa Mamlaka ya Uteuzi

Aliyefanya kazi nzuri hatenguliwi, ukitenguliwa ujue kuna kitu hakiko sawa.
Mtoa mada sijaona dharau zozote hapo labda wewe kwa mtazamo unaona ni dharau

Unataka kuniambia hakuna mema ambayo Nape aliyafanya?

Mnyonge mnyongeni lkn haki yake apewe
 
Kuna vigogo wametumbuliwa huko leo
Amefanya sahihi sababu, kama pale TTCL unakuta kuna viongozi wajumbe wa bodi wapowapo tu hawana idea yoyote ile wanasubiria mshahara tu na posho.
Bora wamefyekwa ili siku nyingine wawe na akili
 
Huyo amesimamia hapo kwa muda kadhaa so yapo mazuri na mabaya yake ,hvyo ni kawaida tu kutoa Asante kwa muda wake alioutumia kusimamia hyo taasisi Ambayo ipo chini ya iliyokuwa wizara yake.
Nape hana hata D mbili za Form IV anaweza nini zaidi ya matusi?
 
Back
Top Bottom