TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

Kufanya kafanya, basi taja mawili tu mazuri ambayo aliwahi kufanya achilia mbali kufanya kazi zake za kawaida
Unajua huenda una mqjibu yako kichwani kwahiyo unataka uyadhibitishe,,kwahiyo itakuwa ngumu kuelewana
Asante
 
Hiyo ni Shukrani mkuu kwa mda waliokua nae.. umequote vibaya
Mkuu wa nchi hawezi kutumbua halafu mkamshukuru aliyetumbuliwa! Kutumbuliwa means you made some mistakes somewhere, na maamuzi ya Rais ni final; Rais kaona madudu halafu mnapongeza kweli aliyefanya madudu ambayo Rais kayaona? Mna macho makali kuliko Rais? Hakuna kitu kama hicho.
 
Bongo sihami wallah 😂😂
 
Tuachane na hizi cheap politics na kuzubaishwa na mamlaka.

Nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa sana ili kupiga hatua na kutoka hapa tulipo.

Tunatakiwa kama Taifa tufahamu ni nini tunahitaji na tupiganie kwa nguvu zote kuliko kuyumbishwa na kutolewa kwenye njia kuu kirahisi hivi.

Hivi hili ni jipya nalo la kukaa kulijadili wakati kila siku wanaoteuliwa na kutenguliwa ni walewale.

Watanzania tuache ujinga na ushabiki wa kishamba.
 
Labda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF na Posta.

Pongezi kwa kazi nzuri kwa waliotenguliwa ni kama kashfa kwa Mamlaka ya Uteuzi

Aliyefanya kazi nzuri hatenguliwi, ukitenguliwa ujue kuna kitu hakiko sawa.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wakuu vipi Vifurushi vya MB vitashuka bei au GB zitaongezeka baada ya Nape na watu wake hawa kutumbuliwa?
 
tulisema Mabeans hana uwezo wa kuongoza mashirika makubwa nilidhani baada ya kushindwa kuiongoza Tanesco angeachwa lakini wami mara apelekwe TTCL huko kumbe nako ana kamhogo kake, baadae wakapongezana na hao wahuni wenzake akina Nape akapelekwa Posta, kufika tu Posta akamyaug'anya tenda ya uendeshaji wa mifumo ya IT na kuleta anayoijua yeye,pale Posta mifumo ikachezewa hata ukilipia sanduku unaambiwa hujalipa, bei za masanduku ya barua ikapanda mara mbili,sanduku la mtu binafsi likapanda kutoka TZS10,000 hadi 20,000 na makampuni kutoka 40,000 hadi 70,000/=
 
Nauliza kwasababu inashangaza sana hayo unayosema ,,,kwahiyo inamaa siku zote alikuwa anashinda bonanza na hakuwahi kufanya kazi ya uwaziri? Upo serious bado?
Angalia matokeo yake ya necta
Screenshot_20240724_055241_Chrome.jpg
 
Labda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF na Posta.

Pongezi kwa kazi nzuri kwa waliotenguliwa ni kama kashfa kwa Mamlaka ya Uteuzi

Aliyefanya kazi nzuri hatenguliwi, ukitenguliwa ujue kuna kitu hakiko sawa.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Kama hawa?

IMG_20240723_185958.jpg
 
Back
Top Bottom