tulisema Mabeans hana uwezo wa kuongoza mashirika makubwa nilidhani baada ya kushindwa kuiongoza Tanesco angeachwa lakini wami mara apelekwe TTCL huko kumbe nako ana kamhogo kake, baadae wakapongezana na hao wahuni wenzake akina Nape akapelekwa Posta, kufika tu Posta akamyaug'anya tenda ya uendeshaji wa mifumo ya IT na kuleta anayoijua yeye,pale Posta mifumo ikachezewa hata ukilipia sanduku unaambiwa hujalipa, bei za masanduku ya barua ikapanda mara mbili,sanduku la mtu binafsi likapanda kutoka TZS10,000 hadi 20,000 na makampuni kutoka 40,000 hadi 70,000/=