Kawaida tu mbonaHii Nchi Imepatwa Na Nini Jamani ?
Kawaida tuHii Nchi Imepatwa Na Nini Jamani ?
Mtoa mada sijaona dharau zozote hapo labda wewe kwa mtazamo unaona ni dharauLabda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF na Posta.
View attachment 3050295
Pongezi kwa kazi nzuri kwa waliotenguliwa ni kama kashfa kwa Mamlaka ya Uteuzi
Aliyefanya kazi nzuri hatenguliwi, ukitenguliwa ujue kuna kitu hakiko sawa.
Kiharusi cha kisiasa....Hii Nchi Imepatwa Na Nini Jamani ?
Farewell kwa mtu alie tenguliwa, hapana that was a misculculation kwa uongozi wajuu.Pongezi zipo wapi hapo?
Hapo Pana farewell Tu.
Hapana naona nyie mna tatizo mahalaFarewell kwa mtu alie tenguliwa, hapana that was a misculculation kwa uongozi wajuu.
Amefanya sahihi sababu, kama pale TTCL unakuta kuna viongozi wajumbe wa bodi wapowapo tu hawana idea yoyote ile wanasubiria mshahara tu na posho.Kuna vigogo wametumbuliwa huko leo
Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa
Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇 --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliotenguliwa ni kama ifuatavyo:- i. B.i...www.jamiiforums.com
Apunguze bei ya MB na SMSDr. Jabir wa TCRA ni mchapa kazi, hiyo inaweza kuwa pona yake. Lakini wale wenzangu na mie wababaishaji alafu wanaleta ujuaji wameliwa vichwaa.
Nape hana hata D mbili za Form IV anaweza nini zaidi ya matusi?Huyo amesimamia hapo kwa muda kadhaa so yapo mazuri na mabaya yake ,hvyo ni kawaida tu kutoa Asante kwa muda wake alioutumia kusimamia hyo taasisi Ambayo ipo chini ya iliyokuwa wizara yake.