TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

Kwa mara ya kwanza nashudia nongwa kwa kushuru
 
Du
 
Wewe ni mchochezi
 
Watu wako maofisini ni vilaza tu wala hawajui protocally inavyokwenda wanachojua ni kusifu tu.
 
Aisee maza ana visa gani na Nape?
Ukimpost tu unalimwa kichwa dadekii
Magufuli alimtumbua Nape na January mama SAMIA kawatudisha kwa upendo tu tena kwenye nafasi nyeti ya uwaziri.Leo unauliza kwamba mama ana visa gani na Nape,mm nadhani ungekuwa na AKILI ungefunga safari ukamuulize Nape ana matatizo gani?ingesaidia zaidi maana ameteuliwa na marais wote wawili ,je Nape yuko peke yake nchi na je ana usomi gani wa ajabu alionao Nape wa kumtishia hata mtu wa kawaida tu zaidi ya mipasho,ukuda,ujinga,upumbavu na utoto usio koma.Umefika wakati Nape na January mkawaulize Wana matatizo gani kiakili.
 
Nape ana akili kama ya mende. Mende anakula kwenye kabati halafu anaishi kwenye karo la maji machafu
 
Hivi hii ni kweli? Ningetumbua hadi kuku wao
 
Rais ana upendeleo labda km hapewi taarifa..ukiacha DG na BC wa TCRA wapo wamefanya ya hovyo kuliko hata Nape na Makamba..Mkuu wa mkoa wa mwanza Mtanda, ana-suppress justice kumsaidia rafiki yake mlawiti Nawanda wazi kabisa, hivi kosa ni lile tu analokosewa Rais na si tunalokosewa sisi?
Mwingine ni mkurugenzi jiji Arusha Juma hamsini vielelezo vyote vipo vya kughushi control number na wizi, na matumizi mabaya ya madaraka..hawa bado wapo hadi sasa, kuna wengine hapo nyuma amewatoa kwa makosa madogo ukilinganisha na hawa wawili..tunamkumbusha, asidhani tumesahau!
 
Aisee mbona povu mzeebaba, gazeti lote hili kwa ajili gani hasa??
Bila shaka una chuki binafsi na hao kina Nape na January ambayo inakutesa bila sababu za msingi.

Na hapo hiyo comments yangu wala haikua on serious note, kama ulivyoichukulia wewe kwa hasira kiasi hicho.
Pole mkuu.
 
Hizi ni sarakasi za kisiasa kupisha kitu kingine kifanyike, mmesahau Posta, TTCL nk. zinapaswa kupewa nani? Inaelekea labda alikuwa kiwingu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…