TCRA wamepeleka wapi pesa zilizokuwa kwenye line zilizofungwa?

TCRA wamepeleka wapi pesa zilizokuwa kwenye line zilizofungwa?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Juzi nimesoma tangazo kuwa TCRA wamezima/wamefunga line laki Tisa (kama sikosei). Najiuliza TU, hizo pesa kwenye hizo line huwa zinapelekwa wapi? Wahusika wanazipateje?

Tuelimishane tafadhali
 
Bila shaka hizo line nyingi zilizofungwa zitakuwa ni za wale matapeli wa tuma ile hela kwenye namba hii 06****6783!

Nawashauri TCRA walifanye hili zoezi kuwa endelevu. Maana matapeli wamezidi kujiamini.
 
Juzi nimesoma tangazo kuwa TCRA wamezima/wamefunga line laki Tisa (kama sikosei). Najiuliza TU, hizo pesa kwenye hizo line huwa zinapelekwa wapi? Wahusika wanazipateje?

Tuelimishane tafadhali
Kwani watu hakusikia Tangazo kuwa zinafungwa acheni kujifanya mnajua kila kotu au kuwafanya watu ni wajinga sana
 
Back
Top Bottom