Sijui kama tumebaini TCRA wanachukua jukumu la mahakama na kujitwisha wao.
Wamejitungia kanuni za wao kutuhumu, kusikiliza na kuhukumu kitu ambacho siyo haki. Uwezi nituhumu then ukajakusema nimekushinda kwa hoja lazima utaonesha nimeshindwa
Hiki wanachofanya cha kutafsiri hadi Sheria zisizo zao, yaani Sheria ya uchaguzi, si cha kufumbia macho.