Jamani hawa TCRA wenzenu wana mzigo mzito. imeanzishwa NGO moja na watu wajanja ya kuregister .tz domain. mafano [media]www.jina.co.tz[/media]. Sasa katika kuanzisha hiyo NGO, TCRA watalipia kila kitu. kuanzia office, computers mpaka bill ya umeme. Roma recommendations (page 29) hapa [media]www.tcra.go.tz/publications/tzNICReport.pdf[/media] . Lakini hiyo NGO ni yatu wachache tu. sasa kwanini TCRA isiifanye kama department yake?
Pia sasa kuregister domain itakuwa dolla 50. wakati kuregister any .com haizidi dola 15. kwakweli ufisadi ni kila sehemu
Pia sasa kuregister domain itakuwa dolla 50. wakati kuregister any .com haizidi dola 15. kwakweli ufisadi ni kila sehemu