Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Mtanzania anayemiliki akaunti ya benki ni mtu mwenye elimu kiasi fulani anawezaje kutapeliwa kijinga hivyo?
TCRA waache kuwakuta watu washamba kiasi hicho.
Unaniita mshamba and still unatoa takwimu tena in total nikikuuliza umezipata wapi unaweza kunijibu?Mbona mshamba wewe umeshajitambulisha. Mpaka wamesema haya ujue Kuna watz wenzako wameshaumia. Kimbelembele bila kutulia. Kuchambua mambo ni sifa ya 89% ya watz. Kupenda mtelemko wa kukimbia utaratibu ndo mkate wetu wa kila siku watz.
Sent using Jamii Forums mobile app