TCRA Yamfungia Polepole, Mwenyewe Asema "Kusema Ukweli ni Sehemu ni Safari Ndefu."

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
2,162
Reaction score
2,616
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kwa muda usiojulikana kipindi cha Shule ya Uongozi kinachomilikiwa na Mbunge, Humphrey Polepole kwa makosa matatu likiwemo la kutoa taarifa ya upotoshaji kuhusu chanjo ya Uviko 19.

poleppoleepicc.jpg
 
View attachment 2049417

Kwani ana haja hata ya kusema hivyo?
Kwani alipokuwa akijinasibu na haya:

Hakudhani tulivumilia kwa sababu tulijua safari hiyo ni ndefu na kwenye kuirefusha alikuwa mnufaika na mhusika?
 
Kwani ana haja hata ya kusema hivyo?
Kwani alipokuwa akijinasibu na haya:

View attachment 2049422

Muda ule ilikuwa fupi ila sasa hivi imekuwa Ndefu ni sawa na kusema kwa sasa Tanzania ipo karibu Jua sjui zamani ilikuwa wapi aisee...?

Hatari sana kiongozi.
 
Kwani ana haja hata ya kusema hivyo?
Kwani alipokuwa akijinasibu na haya:

View attachment 2049422

Hakudhani tulivumilia kwa sababu tulijua safari hiyo ni ndefu na kwenye kuirefusha alikuwa mnufaika na mhusika?
Madaraka haya. Madaraka haya. Nasema tena madaraka haya. Humfanya mtu ajione mkubwa kuliko Mungu. Ajione ni yeye tu. Nyambafu... leo hii amebakia kuishi kama mbuzi anayejua atachinjwa lakini hajui ni lini!
 
Hatari sana kiongozi huwa wanajisahau sana hawa jamaa, hawajui kuwa shilingi ina pande 2 mkuu.
 
Back
Top Bottom