Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kwa muda usiojulikana kipindi cha Shule ya Uongozi kinachomilikiwa na Mbunge, Humphrey Polepole kwa makosa matatu likiwemo la kutoa taarifa ya upotoshaji kuhusu chanjo ya Uviko 19.
View attachment 2049417
Taarifa sahihi isiyo na upotoshaji yakwao ni ipi?.
Mwendazake alivyokuwa anamtumia ameshasahau.
Tukilalamika alituona ni wapiga dili.
Kwani ana haja hata ya kusema hivyo?
Kwani alipokuwa akijinasibu na haya:
View attachment 2049422
Hakudhani tulivumilia kwa sababu tulijua safari hiyo ni ndefu na kwenye kuirefusha alikuwa mnufaika na mhusika?
Madaraka haya. Madaraka haya. Nasema tena madaraka haya. Humfanya mtu ajione mkubwa kuliko Mungu. Ajione ni yeye tu. Nyambafu... leo hii amebakia kuishi kama mbuzi anayejua atachinjwa lakini hajui ni lini!Kwani ana haja hata ya kusema hivyo?
Kwani alipokuwa akijinasibu na haya:
View attachment 2049422
Hakudhani tulivumilia kwa sababu tulijua safari hiyo ni ndefu na kwenye kuirefusha alikuwa mnufaika na mhusika?
Hawa wako kama kenge. Hawasikii hata upige vipi.Muda ule ilikuwa fupi ila sasa hivi imekuwa Ndefu ni sawa na kusema kwa sasa Tanzania ipo karibu Jua sjui zamani ilikuwa wapi aisee...?
Hatari sana kiongozi.
Muda ule ilikuwa fupi ila sasa hivi imekuwa Ndefu ni sawa na kusema kwa sasa Tanzania ipo karibu Jua sjui zamani ilikuwa wapi aisee...?
Hatari sana kiongozi.
Madaraka haya. Madaraka haya. Nasema tena madaraka haya. Humfanya mtu ajione mkubwa kuliko Mungu. Ajione ni yeye tu. Nyambafu... leo hii amebakia kuishi kama mbuzi anayejua atachinjwa lakini hajui ni lini!
Hawa wako kama kenge. Hawasikii hata upige vipi.
Ngoja aisome namba kwanza. La msingi atokee hadharani kuomba radhi. Anavumiliwa vipi mtu wa namna hii:
View attachment 2049451
Safi sana...