Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Dec 19, 2021 #21 Madihani said: Tukilalamika alituona ni wapiga dili. Click to expand... Na alilisisitiza eti tunatumiwa na mabeberu. Round hii wanamkata mkia atatulia tulii kama his fellow bushman Bashiru.
Madihani said: Tukilalamika alituona ni wapiga dili. Click to expand... Na alilisisitiza eti tunatumiwa na mabeberu. Round hii wanamkata mkia atatulia tulii kama his fellow bushman Bashiru.
Niache Nteseke JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 2,162 Reaction score 2,616 Dec 19, 2021 Thread starter #22 Daudi Mchambuzi said: Na alilisisitiza eti tunatumiwa na mabeberu. Round hii wanamkata mkia atatulia tulii kama his fellow bushman Bashiru. Click to expand... Kabisa kiongozi kwenye ngano na mashudu basi mashudu lazma yajitenge mkuu...!
Daudi Mchambuzi said: Na alilisisitiza eti tunatumiwa na mabeberu. Round hii wanamkata mkia atatulia tulii kama his fellow bushman Bashiru. Click to expand... Kabisa kiongozi kwenye ngano na mashudu basi mashudu lazma yajitenge mkuu...!
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Dec 19, 2021 #23 brazaj said: Kwani ana haja hata ya kusema hivyo? Kwani alipokuwa akijinasibu na haya: View attachment 2049422 Hakudhani tulivumilia kwa sababu tulijua safari hiyo ni ndefu na kwenye kuirefusha alikuwa mnufaika na mhusika? Click to expand... Alishatumika kama kopo la msalani
brazaj said: Kwani ana haja hata ya kusema hivyo? Kwani alipokuwa akijinasibu na haya: View attachment 2049422 Hakudhani tulivumilia kwa sababu tulijua safari hiyo ni ndefu na kwenye kuirefusha alikuwa mnufaika na mhusika? Click to expand... Alishatumika kama kopo la msalani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 19, 2021 #24 Pole yake sana...
Niache Nteseke JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 2,162 Reaction score 2,616 Dec 19, 2021 Thread starter #25 Faana said: Alishatumika kama kopo la msalani Click to expand... Kopo la msalani lina afadhali kiongozi unaweza ukalitumia tena kesho ila huyu ni kama Pedi mkuu...! Hatarious.
Faana said: Alishatumika kama kopo la msalani Click to expand... Kopo la msalani lina afadhali kiongozi unaweza ukalitumia tena kesho ila huyu ni kama Pedi mkuu...! Hatarious.