Welcome to police state yaani hadi 21st century tunaamuliwa nyimbo za kupigwa kwenye vyombo vya habari!BASATA muelewe hii bucket inaishia mlangoni mwenu, mmeua mziki wetu wa kitanzania, nchi imekua nchi mfu na mmekaa kimya maana mpo mpo tu, hamjiulizi why nchi hii imepoteza muziki na utamaduni wake, tembea kote kwenye sadc, kila nchi unaweza kuitambua kwa mziki wake!eti nchi leo inapiga amapiano!,this is bulshit siwezi kuwa Alex JHB nisikilize amapiano na nije sinza Dsm eti nisikilize amapiano ya tembo!amapiano SIO muziki wetu ule ni mwendelezo wa kwaito ya SA, wapi mwendelezo wa msondo wetu, sikinde yetu, segere matata yetu?,siku nitakapo kuwa president w 24 hrs, BASATA kufikia saa 1000am,tutakua hatuna idara hiyo, it let's my country down big time