CCM ni waoga sana ! Yaani hawa bila dola ni wepesi kuliko pamba .View attachment 2366404
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imetoa agizo hilo kwa vyombo vyote vya Utangazaji nchini baada ya kupokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa BASATA.
Kwa mujibu wa barua ya TCRA imesema baada ya BASATA kuhakiki wimbo huo imebaini kuwa maudhui yake hayafai kutumika katika jamii na yanaweza kuleta matokeo hasi.
Kwa nini"Maudhui hayafai kusikilizwa na umma wa Watanzania" --- mazafakaz
Mwenye huo wimbo alete hapa tuusikilize kwanza nasisi tuchuje kama unafaaView attachment 2366404
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imetoa agizo hilo kwa vyombo vyote vya Utangazaji nchini baada ya kupokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa BASATA.
Kwa mujibu wa barua ya TCRA imesema baada ya BASATA kuhakiki wimbo huo imebaini kuwa maudhui yake hayafai kutumika katika jamii na yanaweza kuleta matokeo hasi.
Sikujua km Katoa wimbo wa TOZO, ndo nmetoka usikiza U-Tube, wimbo mzuri.View attachment 2366404
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imetoa agizo hilo kwa vyombo vyote vya Utangazaji nchini baada ya kupokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa BASATA.
Kwa mujibu wa barua ya TCRA imesema baada ya BASATA kuhakiki wimbo huo imebaini kuwa maudhui yake hayafai kutumika katika jamii na yanaweza kuleta matokeo hasi.
Vijana wa siku vichwa vina kwashiakor. Amekosa kuja na ujumbe wa maana analeta upoyoyo. Wamechoka kuimba mambo ya mapenzi maana hawanaga cha maanaView attachment 2366404