Butola asante kwa hili. Kwa jinsi ulivyomfahamu Prof. John Nkoma akiwa Botswana vivyo hivyo ndivyo alivyo hata hapo TCRA. To be honest mimi siamini hizi tuhuma za kamati ya bunge dhidi ya TCRA kwa sababu nauelewa uadilifu wa baadhi ya watu wa top menejiment ya TCRA.Nilipata kumfahamu DG wa TCRA, Prof John Nkoma alipokuwa Botswana, ni miongoni mwa Watanzania makini waliopata kutokea, siamini kama angeweza kuwasomea wafanyakazi watatu kwa Billion 2.2, something is wrong somewhere...
hao wajumbe wa bodi pia ni mafisadi waunganishwe kwenye ile orodha.mwenye majina yao atuwekee hapa tuwajue vizuri unaweza kupatwa na mshangao ukiwajua