TCRA yazipiga faini kampuni za simu kwa kushindwa kutekeleza masharti ya huduma bora

TCRA yazipiga faini kampuni za simu kwa kushindwa kutekeleza masharti ya huduma bora

Kuna kifurushi nilikuwa natumia cha 1000 cha internet usiku halotel, wamekiweka 1500. Hiki kilikuwa kinasaidia sana kudownload tutorial za Youtube maana nilikuwa napiga mzigo wa gb10+. Inabidi niende TTCL naona huko vifurushi vya internet viko poa ila shida mtandao magumashi.
jamaa ndo watupige sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hizo wanapeleka wapi,kwa wateja ambao ndio wanaopata hizo shida au ?
Wabongo bwana, yani iko hivi!

Kwanza hiyo mitandao watalipa

Pili wewe mtumia huduma utabebeshwa mzigo wa kurudisha ela yao waliyo ilipa!

Tatu wewe mwananchi mnyonge unayedhani kwamba mitandao imekomolewa utaanza kulalamika kwanini kifurushi kinaisha haraka!?

Kwa kifupi haya malipo hayawahusu mitandao yanakuhusu wewe, wewe na mimi ndio tutakao lipa hayo mabilioni.

Kwa hiyo usikae hapo unakenua meno na kuanza kuimba nyimbo za mapambio bila kujua yanayokujua yanafurahisha.
 
Back
Top Bottom