Kuna kifurushi nilikuwa natumia cha 1000 cha internet usiku halotel, wamekiweka 1500. Hiki kilikuwa kinasaidia sana kudownload tutorial za Youtube maana nilikuwa napiga mzigo wa gb10+. Inabidi niende TTCL naona huko vifurushi vya internet viko poa ila shida mtandao magumashi.