Tct tcu wana2changanya

Tct tcu wana2changanya

Joined
Aug 13, 2012
Posts
16
Reaction score
0
Kuanzia leo asubuhi ilikuwa m2 uki-login unakuta umeandikiwa chuo ulichochaguliwa ,lakin cha kushangaza kuanzia saa 10:00am leo wameondoa tena,Kwa kweli mm cwaelew
 
hilo mi staki jua...washasema nimepangwa sua baaaasi!! mengine watajua wenyewe...ila naiman itakua ni system yao inashida....
 
Jamani mbona wengine profiles zimekuwa marked NOT YET PROCESEDkulikoni?
 
hili hata mimi nimeliona,ila cha msingi wame ni show to Ifm hizi mbwembwe zao watajibeba huko huko.
 
Sijui wana nini hawa jamaa yaani wanazidi kutuumiza vichwa....wanatoa selection at the same time wanazidelete......
 
Back
Top Bottom