Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuwaje upangiwe kozi ambayo hukuiomba? TCU wametoa majina ya watu ambao wamekosa nafasi walizoomba na kuwashauri waombe upya - second round application (kwa masingi kuwa wanaqualify). Kama hili unalolisema kweli linawezekana, sioni mantiki ya kuwataka hao wengine waliokosa waombe upya (huku, wengine kama wewe mkipangiwa kozi ambazo hamkuomba!). Au kuna kitu sijaelewa katika hili?
hiyo ni kwel kabisa wakuu,manake hata mchz wang nae jina lipo kwa wale wa second selection lakini kapata selection ya udom...kunanini hapa??????
thank lord, thank alot, i will praise you forever
you are selected to bachelor of education in arts at university of dodoma
japo sikuiomba
lakini twatakiwa tushukuru kwa yote, tuwe na shukrani, amini mungu ana makusudi kukuweka hapo ulipo