Majina yataendelea kutoka tcu bado wanayafanyia kazi.hayo ni majibu kutoka kwa mtu niliye mtuma.
Pia tcu wanaendelea kupokea barua nyingi zaid na kwasiku hazipungui barua mia.
Walicho sisitiza ni tuendelee kuwa na subira na kufwatilia kwenye websiteyao.