TCU batch three

TCU batch three

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
Habari Wandugu.
Kwa Tulio Andika Barua Tcu Na Bado Hatujaruhusiwa Ku Aply IviMajina Mengine YatatokaLini??.
Pia Mwenye Namba Za Tcu Naomba Atusaidie.
 
Namba zao hizi hapa wakuu

(+255)-22-2772657, 0765027990, 0674656237 and 0683921928
 
Yeyote mwenye habari mpya kuhusu batch 3 atujuze mana Hawa jamaa mamekaa kimya tu
Wanatupa stress tu
 
do hawajamaa no zao hazijawahi kupatikana hebu tusubiri tuone mim mwenyewe nimetuma barua mpaka xaxa naona kimya tu.
 
Majina yataendelea kutoka tcu bado wanayafanyia kazi.hayo ni majibu kutoka kwa mtu niliye mtuma.
Pia tcu wanaendelea kupokea barua nyingi zaid na kwasiku hazipungui barua mia.

Walicho sisitiza ni tuendelee kuwa na subira na kufwatilia kwenye websiteyao.
 
Back
Top Bottom