Tafadhali naomba kujua kama sisi tuliobahatika kupasua mtihani wa f6 kwa mwaka huu tunaweza anza usajiri, nauliza hivi kwani kuna jamaa yangu yeye kaanza kujisajiri lakini system imekataa taarifa zake za f6 eti hazimo ktk system yao, nilihisi labda necta hawajawapelekea matokeo ya kidato cha sita yaliyotoka, ni sahihi au kuna jingine. Msaada
All applicants who completed form VI in 2014 areTafadhali naomba kujua kama sisi tuliobahatika kupasua mtihani wa f6 kwa mwaka huu tunaweza anza usajiri, nauliza hivi kwani kuna jamaa yangu yeye kaanza kujisajiri lakini system imekataa taarifa zake za f6 eti hazimo ktk system yao, nilihisi labda necta hawajawapelekea matokeo ya kidato cha sita yaliyotoka, ni sahihi au kuna jingine. Msaada