Tcu - cas

Tcu - cas

abagabo

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
155
Reaction score
168
Tafadhali naomba kujua kama sisi tuliobahatika kupasua mtihani wa f6 kwa mwaka huu tunaweza anza usajiri, nauliza hivi kwani kuna jamaa yangu yeye kaanza kujisajiri lakini system imekataa taarifa zake za f6 eti hazimo ktk system yao, nilihisi labda necta hawajawapelekea matokeo ya kidato cha sita yaliyotoka, ni sahihi au kuna jingine. Msaada
 
sasawa mtoto wa BRN ni endelea kujaribu bt deadline ni 31 august
 
You just keep calm.
Hii ndo week ambayo tokeo limetoka xa unaharaka gani ya registration wakat mda bado unao hadi August 31 ndo deadline inafika. Me nahsi itakua poa xana kama ukijaribu hilo zoezi next week.
 
Tafadhali naomba kujua kama sisi tuliobahatika kupasua mtihani wa f6 kwa mwaka huu tunaweza anza usajiri, nauliza hivi kwani kuna jamaa yangu yeye kaanza kujisajiri lakini system imekataa taarifa zake za f6 eti hazimo ktk system yao, nilihisi labda necta hawajawapelekea matokeo ya kidato cha sita yaliyotoka, ni sahihi au kuna jingine. Msaada
All applicants who completed form VI in 2014 are
hereby informed that applications for admission into
Higher Education Institutions through the Central
Admissions System (CAS) will begin on Monday 21st
July 2014.
source tcu.go.tz
 
Tafadhali naomba kujua kama sisi tuliobahatika kupasua mtihani wa f6 kwa mwaka huu tunaweza anza usajiri, nauliza hivi kwani kuna jamaa yangu yeye kaanza kujisajiri lakini system imekataa taarifa zake za f6 eti hazimo ktk system yao, nilihisi labda necta hawajawapelekea matokeo ya kidato cha sita yaliyotoka, ni sahihi au kuna jingine. Msaada

Yalinikuta jana nilikuwa namjaza is dogo ambaye yuko jkt,nikawapigia TCU wakasema baraza la mithihani hawajawapelekea matokeo,wakanishauri zoezi hili nilifanye jtatu tarehe 21/07

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom