TCU confirmation vouchers

TCU confirmation vouchers

Kuna mambo mawili hapo,
KWANZA...Ukishatuma ile msg utakayotumiwa usiifute na inakuwa mf. Z8B0456F4J7
(Nmechukulia mfano).
PILI..Hiyo msg inatoka tigo ila ili iwe confirmed na TCU wakati unajaza ikigoma mwanzo, subiri masaa kadhaa ndipo uiingze tena, japokuwa timelimit ni 24 hrs.
 
Asante sana mkuu
 
hii system ya kutumia mitandao ya simu kwa malipo ya hizi huduma za elimu huwa ina mapungufu yake kwa mfano ukiwa ushalipa na vocha umetumiwa ila inakataa na kusema usubiri au ujaribu baada ya saa 1na saa likipita bado inaleta shida bora ile ya kununua vocha benki ilikua haina shida ukiingiza inakubali hapohapo japo foleni napo benki.
Na nauliza hivi kuna ambaye ameshafanya application tcu tangu zilipofunguliwa tar 28 may?? maana kuna maelezo yao ya mwanzo walisema zitafunguliwa baada ya matokea ya kidato cha 6 lakini ghafla wakafungua

Shukran mdau yaani mitandao inasumbua na kupandisha presha kweli,asee sijajua kama kuna mtu ila kama yupo atakupa majibu mkuu
 
Back
Top Bottom