TCU hawachagui kwa usawa



Hayo majina ya Bachelor ya Udsm yametoka lini au umeyaona wewe peke yako Alfredtz
 
hapo nakushauri nenda kabadili vyuo uongeze vingine idad uinaonesha wenghi walioomba UDSM ndio wameambiwa wrudie nd2 round ...think twice dar ipo tu utakuja kufanya kazi c lazma
ussome

haha lol! kumbe kukaa Dar napo dili...

Thanks God i was Born and Raised in Dsm , Dar Es Salaam is Tanzania and Tanzania is Dar Es Salaam
 
huenda matokeo yao ya olevel yamewabeba
 
Mdogo wangu amekuwa selected ila chuo bado hajajua na alisoma PCM alipata three ya 13 yaan CEE hiyo C ya mathe lakin nahisi wanaangalia zaidi na mtihan wa fm 4 maana alifaulu vizuri .
 
Kwan pharmarcy wamerudisha pcm kuweza kusoma? Then ulchagua hzo coz 3 tyu?
 
naombeni anayejua kujaza index number ya o leval kwenye form ya necte
 
BCC IS 8 NOT TEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…