Adolf Hitler Jr
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 340
- 263
Jamani Mimi ni form six leaver nliepata BCC Kwa PCM Nikaomba vyuo katika order hii
Civil eng-udsm
Electrical eng-udsm
Pharmacy-mumbl
Ofcoz sikuchaguliwa ila nnachoshangaa ni machali zangu wenye two ambao wameomba kwa mtiririko kama wangu wamepataa ila mm nimekosaaa.....apoo ndipo ninapoilaumu hii taasisi ya udahili wa vyuo vikuu kwamba haitendi hakii.....
Naomben nishaurini kwa huu mtindo mwingine nlioomba ntapataa...??
Telecoms eng-udsm
Comp eng-udsm
Comp eng -Dit
Ahsantenii saanaa wadau ....am stressed....!!!!
Hayo majina ya Bachelor ya Udsm yametoka lini au umeyaona wewe peke yako Alfredtz