TCU hawachagui kwa usawa

Mdogo wangu amekuwa selected ila chuo bado hajajua na alisoma PCM alipata three ya 13 yaan CEE hiyo C ya mathe lakin nahisi wanaangalia zaidi na mtihan wa fm 4 maana alifaulu vizuri .
Awap 2013 watu walipiga so masiala
 
Ulijiamin San ukajaza kozi Tatu tu?? Watu wametusua San dis year shule kibao zimejaa div1.. Ukome ila hpo sas hv utapat
 
jamaa tambua kuwa kufaulu si akili tu ila na bahati pia inatajika......ndo maana hata level ulizopita kuna waliokuzid akil ila hawakuchaguliiwa,kuna ambao hawakuwa na akili ila leo hii umemaliza nao six!!!!!ngoja second selection kama una bahat utapaata....next time ukisoma usitegemee akil peke yake ili kusonga ila omba mungu akuweke katika wenye bahat!!!!!
 
Thanx kakaaaa apoo nimeelewa Bahati ni kitu muhimu saanaaa
 
acheni kuchagua majina ya vyuo; chagueni vyuo bora UDSM ilikuwa miaka hiyo ya 2005 kurud nyuma';
 
acheni kuchagua majina ya vyuo; chagueni vyuo bora UDSM ilikuwa miaka hiyo ya 2005 kurud nyuma';
Ndugu usithubutu kukisema vibaya hicho chuo utashambuliwa wewe shauri zako ngoja waje wenye chuo chao
 
Duuh PCM ulichagua Pharmacy ya Muhimbili,uliwaza nini mkuu?
 
chagua hizi kozi mkuu...

software engineering udom kama unapenda maswala ya computer

kozi za engineering za sua...

architecture ya ardhi
na kama unapenda ud rka kozi moja tu maana mwisho wa siku ukisoma ud dit au udom wote mtakua ma injinia kama ukisoma engineering
 
LABDA UMEKOSA VIGEZO KATIKA MATOKEO YAKO YA FOUR MAANA MLIMAN SI HUWA WANA GRADE ZAO WANAZOZITAKA O LEVEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…