robby klax
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 283
- 121
Awap 2013 watu walipiga so masialaMdogo wangu amekuwa selected ila chuo bado hajajua na alisoma PCM alipata three ya 13 yaan CEE hiyo C ya mathe lakin nahisi wanaangalia zaidi na mtihan wa fm 4 maana alifaulu vizuri .