Tcu hawana sauti juu ya vyuo vikuu vilivyo chini yake.

mgummoja

Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
16
Reaction score
2
Leo napenda tujuzane juu ya udhaifu wa tume yenye thamana ya kusimamia vyuo vikuu, ninavyofahamu walaka wa TCU ulisema kiwango cha dalaja C katika masomo ya vyuo vikuu kianzie na 40 na sio 50, inakuwaje mpaka sasa baadhi ya vyuo bado imebaki 50 na hakuna hatua zilizochukuliwa, mfano ni Mzumbe, SUA na vinginevyo, na daily wanafunzi wanazid kudisco na walia na wastani C kuwa 50 na sio 40 hasa pale SUA.
 
kwani ulivyo apply hukujua hilo?
Mbona wenzako wanafikisha hizo pass mark?

Kama umeshashikwa ww tuliza akili ujipange upya lakini co kuandika thread isiyo na maana#
 
Leo napenda tujuzane juu ya udhaifu wa tume yenye thamana ya kusimamia vyuo vikuu, ninavyofahamu walaka wa TCU ulisema kiwango cha dalaja C katika masomo ya vyuo vikuu kianzie na 40 na sio 50, inakuwaje mpaka sasa baadhi ya vyuo bado imebaki 50 na hakuna hatua zilizochukuliwa, mfano ni Mzumbe, SUA na vinginevyo, na daily wanafunzi wanazid kudisco na walia na wastani C kuwa 50 na sio 40 hasa pale SUA.
hebu weka huo waraka hapa
 
We chalii henu soma 50, tu huwezi kupata?mbona wenzako tumemaliza kwenye hivyo vyuo. Ningependa kuona hiyo nyaraka ila pia fahamu kuwa huwezi kubadilisha mfumo kwa siku moja inabidi uchukue muda kuadopt kidogo kidogo.
 
Leo napenda tujuzane juu ya udhaifu wa tume yenye thamana ya kusimamia vyuo vikuu, ninavyofahamu walaka wa TCU ulisema kiwango cha dalaja C katika masomo ya vyuo vikuu kianzie na 40 na sio 50, inakuwaje mpaka sasa baadhi ya vyuo bado imebaki 50 na hakuna hatua zilizochukuliwa, mfano ni Mzumbe, SUA na vinginevyo, na daily wanafunzi wanazid kudisco na walia na wastani C kuwa 50 na sio 40 hasa pale SUA.

Weee dogo kama shule imekushinda kaliwe masaburi, TCU wanaweka minimum sio maxmum vyuo vinahiari ya kupandisha hadi watakavyo wao ilimradi ni maamuzi ya Seneti zao, ni kama vile ambavyo TCU wanasema mwenye point 2 anaweza kudahiliwa kuingia kwenye kozi yeyote ya degree lakini vyuo vinahiari ya kupandisha hadi point watakazo wao kwa mfano kama huna point kuanzia 7huwezi kuingia sheria UDSM. sasa unataka kusema TCU wawalazimishe UDSM wawachukue wale wenye point 2? mambo mengine hebu jaribu kufikiri sio kuropoka kama muuza makalio..........
 
umeanza vizuri, umemaliza vibaya
 
Mkuu hakukuwa na ulazima wa kutumia lugha kali kwa mleta mada
 
Weee dogo kama shule imekushinda kaliwe masaburi, TCU wanaweka minimum sio maxmum vyuo vinahiari ya kupandisha hadi watakavyo wao ilimradi ni maamuzi ya Seneti zao, ni kama vile ambavyo TCU wanasema mwenye point 2 anaweza kudahiliwa kuingia kwenye kozi yeyote ya degree lakini vyuo vinahiari ya kupandisha hadi point watakazo wao kwa mfano kama huna point kuanzia 7huwezi kuingia sheria UDSM. sasa unataka kusema TCU wawalazimishe UDSM wawachukue wale wenye point 2? mambo mengine hebu jaribu kufikiri sio kuropoka kama muuza makalio..........

safi sana kwa maelezo mazuri
 
Subiri ban! Umepitiliza
 
pole dogo, kozi gani hiyo unayoshindwa kufikisha 50? mbona wenzio wanaweza? ongeza nguvu kwenye grp discusns.
 
Back
Top Bottom