Leo napenda tujuzane juu ya udhaifu wa tume yenye thamana ya kusimamia vyuo vikuu, ninavyofahamu walaka wa TCU ulisema kiwango cha dalaja C katika masomo ya vyuo vikuu kianzie na 40 na sio 50, inakuwaje mpaka sasa baadhi ya vyuo bado imebaki 50 na hakuna hatua zilizochukuliwa, mfano ni Mzumbe, SUA na vinginevyo, na daily wanafunzi wanazid kudisco na walia na wastani C kuwa 50 na sio 40 hasa pale SUA.