hebu weka huo waraka hapaLeo napenda tujuzane juu ya udhaifu wa tume yenye thamana ya kusimamia vyuo vikuu, ninavyofahamu walaka wa TCU ulisema kiwango cha dalaja C katika masomo ya vyuo vikuu kianzie na 40 na sio 50, inakuwaje mpaka sasa baadhi ya vyuo bado imebaki 50 na hakuna hatua zilizochukuliwa, mfano ni Mzumbe, SUA na vinginevyo, na daily wanafunzi wanazid kudisco na walia na wastani C kuwa 50 na sio 40 hasa pale SUA.
Leo napenda tujuzane juu ya udhaifu wa tume yenye thamana ya kusimamia vyuo vikuu, ninavyofahamu walaka wa TCU ulisema kiwango cha dalaja C katika masomo ya vyuo vikuu kianzie na 40 na sio 50, inakuwaje mpaka sasa baadhi ya vyuo bado imebaki 50 na hakuna hatua zilizochukuliwa, mfano ni Mzumbe, SUA na vinginevyo, na daily wanafunzi wanazid kudisco na walia na wastani C kuwa 50 na sio 40 hasa pale SUA.
Weee dogo kama shule imekushinda kaliwe masaburi, TCU wanaweka minimum sio maxmum vyuo vinahiari ya kupandisha hadi watakavyo wao ilimradi ni maamuzi ya Seneti zao, ni kama vile ambavyo TCU wanasema mwenye point 2 anaweza kudahiliwa kuingia kwenye kozi yeyote ya degree lakini vyuo vinahiari ya kupandisha hadi point watakazo wao kwa mfano kama huna point kuanzia 7huwezi kuingia sheria UDSM. sasa unataka kusema TCU wawalazimishe UDSM wawachukue wale wenye point 2? mambo mengine hebu jaribu kufikiri sio kuropoka kama muuza makalio..........