bord hawatoi interms of percentage?. Sijakuelewa naomba unieleweshe.
usitumie masaburi kufikiria...

Wametoa viwango kamili vya fedha vikiwa vimeandikwa loan amount. Hatujui ni kwa mwaka o miaka 3. Ni pam0ja na acumdatn na meal o vipi. Yani nishapata moto

hiyo itakuwa ni kwa ada tu usiogope. Maana meals &acc wanafunz wote wanapewa sawa hata wale waliokuwa wamepata 0% kwa kipindi hicho. Kwa formula hii mpya waliyotumia sijafatilia. Hiyo itakuwa ni nje ya meals na accomodation.
Hiyo in 90% ya mkopo wako lakini pia mshukuru Mungu maana kuna wenzako wamepata 20% je wao watasemaje na pia ni watoto wa wakulima?Wamenipa 2560500 alafu ada na makorokoro huku mucobs ni 2860000 per year so ela ya acumudation & meal inakuaje? Reseach & field nayo vipi? Imejumlishwa humu humu? Huu mwaka kama kwenda chuo ni story.. Na nitajuaje asilimia walizo nipa? Naombeni msaada wana jf nisha changanyika...
Kujua asilimia uliyopata chukua total fees kwa kozi kwa miaka 3 kutoka kwenye guide book gawanya na hicho kiasi ulichopewa kwa miaka mitatu zidisha kwa 100.Jibu utakalopata ndo asilimia yako ya mkopo.

Hiyo in 90% ya mkopo wako lakini pia mshukuru Mungu maana kuna wenzako wamepata 20% je wao watasemaje na pia ni watoto wa wakulima?

shukuru Mungu. wenzako tuko kwenye list ya "NO LOAN"

Mtoto wa mkulima hajaenda chuo anajua kukaa kwenye computer na kuchangia hoja jamiiforums!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hata me niltaka kumuuliza hilo2

hata me niltaka kumuuliza hilo2

Heri ww hata umepata hiyo asilimia

mm mwanangu amenyimwa mkopo

ilihali ni single parent (mama)

kwa kweli nimechanganyikiwa

hivi hakuna kukata rufaa huko HESLB

kukata rufaa kupo nenda Kajaze appeal form watakurekebishia