TCU & HESLB na "Amount of Loan" mbona siwaelewi?

TCU & HESLB na "Amount of Loan" mbona siwaelewi?

hivi ndio wamemaliza kutoa mikopo au kuna batch zingine zinafuata?..

Hiyo ela ya heslb ni kwa ajili ya accomodation & stationary allowance...gharama za ada zilizobaki ni juu yako.

hivi ndio wamemaliza kutoa mikopo au kuna batch zingine zinafuata?..

me nashndwa kuwaelewa nyie madogo,wasiwasi wa nin,hyo ni batch ya kwanza 2,batch huwa znaenda hadi 30 so no nid to get worry,ka mna vigezo mtapata 2 hyo loan!

Nashukuru mzaz.
Cn i get da source of dat isue?
Inamaana ela ya meal inakuwa pembeni?
Iyo 7500..
Hiyo ela ya heslb ni kwa ajili ya accomodation & stationary allowance...gharama za ada zilizobaki ni juu yako.

Kweli huyo ana2mia masaburi kufkilia. Kama yeye co mtoto wa mkulima aende havard

course yako inahitaji kiasi gani kwa mwaka?

Uyu ni bwana mdogo, kapata BED-ARTS.
ahaaaa! Kama Ed. basi ni haki yake. Amekula kitu cha 100% mpe pongezi bhana. Maana wengine tuameambulia 80% lakini ni BAA.

Watu vichwa joto cjui inakuaje hapa.. Mkopo cjui ni 8% hii. Kila ninapopigia hesabu inag0ma. Any 0ne frm heslb here? O mwenye ukaribu nao..? Tanzanian tupambanuane am0unt na maitaji wakuu

Hata mimi ningependa kujuzwa maana sielewi!
Watu vichwa joto cjui inakuaje hapa.. Mkopo cjui ni 8% hii. Kila ninapopigia hesabu inag0ma. Any 0ne frm heslb here? O mwenye ukaribu nao..? Tanzanian tupambanuane am0unt na maitaji wakuu

Back
Top Bottom