Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Marine Engineering? Inatolewa na University gani bongo? Au pale DMS? DMS kipo chini ya NACTE (sio TCU) huko ni zoa zoa tu.
Zoa zoa ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona wanatoa bachrlor tangia kitaambo tu uwe unafuatilia mzee acha kupayuka
 
Marine Engineering? Inatolewa na University gani bongo? Au pale DMS? DMS kipo chini ya NACTE (sio TCU) huko ni zoa zoa tu.
DMI na NIT hivi Vyuo sijui wahitimu wake wanaendaha kufanya kazi wapi. Yaan full utata bora hata ukacheze ngoma Bagamoyo (TASUBA)
 
Tangazo la TCU haliwahusu DMI (sio Chuo Kikuu) kapambaneni huko NACTE na mafundi mchundo wenzenu
Nimekuwekea hapo angalia kama hizo bachelor hazipo ,afu uspaniki mkuu naingia kwenye ajira keshokutwa tu hapa marine engineers tupo wachache sana tz hapa wengi wanachukuliwaga nje sasa endelea na hizo akili zako kwamba chuo flani hata kama kinatoa bachelor basi kipo chini ya nacte [emoji23][emoji23] nina 5.0 nioneshe ya kwako ambayo ni kubwa au sawa na hiyo nina uhakika hata hakuna kwenye ukoo wenu aliyewahi pata hiyo ,nina option nyingi sana kwenye maisha ila spendi ku FLEX na bado AJIRA ZAKE NI UHAKIKA NAINGIA KESHO KUTWA HAPA ENDELEA KUPIGA KELELE JF
N.B
sitakaa sana kwa kuwa nina passion ya kusimamia biashara zangu am 24 by the way you are welcome .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Engineer 5.0 kumbe hata ajira bado umeanza Maneno ya shombo Kama Zzuchu. Mara mpo wachache Mara Huna flex
 
Tangazo la TCU haliwahusu DMI (sio Chuo Kikuu) kapambaneni huko NACTE na mafundi mchundo wenzenu
So kwa akili yako , nashindwa fundisha chuo kipi? Tofautu yangu mimi na wewe ni kuwa nina uhuru wa ku apply chuo chochote kile na kuchagua module yoyote ile ya kufundisha na hapo hapo nina uhuru wa kufanyia kazi major yangu nchi nitakayotak ku apply πŸ˜‚πŸ˜‚ 5.0 ukidhani inaokotwa tu si kazi rahisi mpaka chuo kimeniomba nibaki sjui ww unafikiria kwa nn ndo mana nakwambi korona ikipunguza mashambulizi na wasomi wakarudi vyuoni ni mimi sasa kuamua je nikawe lecture mdogo kutokea tz au nika apply udsm niwapigishe pure wazembe wale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuliko nikasome Dmi Bora niende Mbegani nikavue dagaa-dagaa au olmotonyi kufuga nyuki
Maamuzi ni ya kwako ila nimejifunza kitu ni kuwa wanafunzi wengi (nahisi hata wewe itakuwa ulipangiwa hapo ) wa mlimani huwa mna ile superiorty complex na wakati vichwani mpo empty πŸ˜‚, embu mkuu weka ya kwako wacha kuonge and narudia sidhani kama kuna mtu yeyote kwenye ukoo wako alishawahi pata hiyo
 
Engineer 5.0 kumbe hata ajira bado umeanza Maneno ya shombo Kama Zzuchu. Mara mpo wachache Mara Huna flex
Yap sina flex ila nina maneni ya shombo kwa anayeleta shombo pia.nina option kubwa tu
1.chuo nimeombwa nibaki nipigishe.
2.au nianze ajira direct .(hii sijaomba huwa tunaajiriwa direct na kampuni za meli za nje na ndani so maamuzi ni yangu).
Nimewaomba muda nifikiri kwanza so ni mimi ni mimi nahitajika nitoe tamko tu , πŸ˜‚ vp kwani unateseka mimi kugombaniwa na ajira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…