Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Mbona kuna wengi tu kutoka vyuo kama st John wana GPA za 4 na zaidi!
Mimi nilidhani wangepaswa kuweka kigezo kingine cha ziada ili kuepuka kuingiza watu wasiostahili ambao ni wengi sana.Kuna wengi wamezipata kishemeji shemeji alama hizo.

Njia ninayopendekeza ni kuwa ifanyike vetting makini na kuwe na forum ambapo wanachuo wataruhusiwa kumpigia kura, kutokana na ubora wake hata kama ana GPA ya 3.5 na mwingine anayo ya 4 kigezo hicho cha pili kipewe nguvu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
3.5 na 4.0 zote ni second upper class naona kama una zi cartegorize hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nisubiri angalau wenye 5.0 waje although cheti sikipi kipaumbele sanaa kwa kuwa ni maandishi tu hayo
Screenshot_2020-04-17-13-20-33-1-1-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
i
TCU imetoa third edition ambayo imekuja na mabadiliko mengi.

Moja ya hayo ni kubadili kigezo cha kufundisha kuwa 3.5 kwa undergraduate badala ya 3.8 kwa vyuo vya serikali kama ilivyokua awali lakini 4.0 kwa Masters imeendelea kua ileile

Hii itatoa fursa kwa wanataaluma wenye sifa kupata nafasi na kupunguza uhaba wa wahadhiri vyuoni kutokana na kigezo cha awali

Sasa vijana mlioko vyuoni kazi kwenu pigeni ma GPA mkapige mpunga baada mteuliwe.

apo sawa maana kuna vyuo vingne ile 3.8 unaweza isikia kwenye bombaa tu
 
Back
Top Bottom