Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tu huyu sita msahau lakini pia material ya online yalinibeba hasa ya Havard na oxford nilikuwa silali nasakua usiku kuchaWewe kipanga. Mtebe alikufundisha ?
Teuzi = 6M + Teuzi scale
Prof 6M
Associate Prof 4M+
Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!
Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!
Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
Hiyo kwa Vyuo vya kata mbona kawaida 3.5 kitamboo. Pale UD, MUHAS na SUA mziki bado 3.8
Watu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha
Kufundisha siyo shida ila shida ni kufundisha na ukaeleweka.TCU imetoa third edition ambayo imekuja na mabadiliko mengi.
Moja ya hayo ni kubadili kigezo cha kufundisha kuwa 3.5 kwa undergraduate badala ya 3.8 kwa vyuo vya serikali kama ilivyokua awali lakini 4.0 kwa Masters imeendelea kua ileile
Hii itatoa fursa kwa wanataaluma wenye sifa kupata nafasi na kupunguza uhaba wa wahadhiri vyuoni kutokana na kigezo cha awali
Sasa vijana mlioko vyuoni kazi kwenu pigeni ma GPA mkapige mpunga baada mteuliwe.
MUHAS hawachukui vilaza.Muhas wakufunzi wamebaki wazee..wana kaza GPA kinoma..kupata ukufunzi pale lazima uwe na 4..hope nw watalegeza maana walimu vijana hakuna.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
He vipi kuhusu matokeo yake ya interview ? Assume interview amefaulu sanaNi rahisi tu wakati nikiwa kwenye taasisi fulani vetting tuliyokuwa tukiwafanyia new recruits ilikuwa ni kufananisha matokeo yake ya O&A level vs ya chuo then tuna mregard au disregard....kama chuo una 4.0 na o level una III A level III wewe mojakwamoja wahega
Sent using Jamii Forums mobile app
St John's sio CatholicKwani waanzilishi wa elimu hapa nchini ni wakina nani? Wewe hujui kuwa mfumo wa Seminary ndio hutumika kwa vyuo vya taasisi za kidini hasa Romani Catholic, hivi kuna watu wenye mfumo mzuri wa elimu kama Roman Catholic?
Kwa waliobahatika kusoma seminary halafu wakaenda kusoma vyuo vilivyo chini ya Warumi wanaelewa mziki ila kwa mtu ambae hakubahatika kupitia huu mfumo ni ngumu kuelewa maana bado hajabahatika kujua kuwa chuo kikubwa duniani kama Harvad kipo chini ya Warumi. Warumi hawanaga masihara na kitu inaitwa elimu wakiandaa mtu wanaanda kweli kweli kiroho, kiakili na kimwili ukizingua wanakula kichwa mapema tu, wewe waulize waliosoma shule na vyuo vyao.
Nifahamu vyema mkuu hao ni wa Angelicana ila nilimjibu kutokna na yeye alivyojibu kwa kujumuisha vyuo vya parokia bila kujua kuna Warumi humo ndani, ambao ndio wamekuwa kitovu cha elimu bora humu nchini kabla na baada ya uhuru.St jon
St John's sio Catholic
Sasa 3.5 na 3.8 tofauti yake ni ipi?Hiyo kwa Vyuo vya kata mbona kawaida 3.5 kitamboo. Pale UD, MUHAS na SUA mziki bado 3.8
Hakuna kitu hawa waswahili. Ni mambumbumbu ajabu!Bongo bwana raha sana..
Majitu yana GPA ya 3.5 mpaka 4+ huko tena unakuta engineering huko sasa mara paap COVID-19 hiyo tengenezeni basi hata kaventilator hata kamoja hawawezi zinaanza sound tu...
Huku Africa kuwa na hayo MAGPA ni kupoteza muda tu maana kwenye ubongo utakuwa umekariri tu.
With all these degree' s and GPA's bado hatuwezi hata kuchimba dhahabu wala makaa tukayaweka kwenye matumizi baadala yake tumebaki kushindanisha maGPA tub huku hatuwezi hata kutengeneza magobore wala Camera mpaka USB cable..kifupi huku wote ni maprimitive tu na shule tulienda kutembea tu...
TEKU alumni huoni tofaut bado? Tofaut yako na Mwanaume Ni Nini? Au mpo sawa?
Nikuelekeze chuo nilichisoma ukaulizie? Au nikutumie script ya mayokeo?uzuri humu JF hakuna mwenye chini ya upper second. woooote mpo vizuri. nadhani umenielewa
Hoja yako ina mashiko,sema pia kumbuka mara nyingi kila chuo kimekua na desturi ya kuajiri watu waliopitia kwenye vyuo vyao.NB:Connection pia ina uzito mkubwaMbona kuna wengi tu kutoka vyuo kama st John wana GPA za 4 na zaidi!
Mimi nilidhani wangepaswa kuweka kigezo kingine cha ziada ili kuepuka kuingiza watu wasiostahili ambao ni wengi sana.Kuna wengi wamezipata kishemeji shemeji alama hizo.
Njia ninayopendekeza ni kuwa ifanyike vetting makini na kuwe na forum ambapo wanachuo wataruhusiwa kumpigia kura, kutokana na ubora wake hata kama ana GPA ya 3.5 na mwingine anayo ya 4 kigezo hicho cha pili kipewe nguvu zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weweeee...sikilizaa.... mimi sijasoma hizo shule zenu uchwara!TEKU alumni huoni tofaut bado?
Tuliza mpenyo Upewe kazi hapo hapo TEKU maana wanyaki mmejazana hapo kila Kona.Kwanza hapo Tanganyika mna chuo kikuu ninyi? au "extended high schools"?
Mimi nimesoma kweli kweli. Nimesoma kila taaluma iliyopo chini ya hili jua!
Sibabaiki na hizo GPA zenu za kubangaiza za High school!
Sent using Jamii Forums mobile app