OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Old model ya DiamondKuna yule Mr Nice pia.Nasikia alikuwa na msafara wa magari na walinzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Old model ya DiamondKuna yule Mr Nice pia.Nasikia alikuwa na msafara wa magari na walinzi.
Tulia ulipiwe kodi na GPA yako ya kuunga toka OpenKina Chib wapo wangapi ?Bora ma prof wapo wengi na mishahara japokuwa midogo ila wana uhakika wa kuishi maisha standard. Chib mziki ukiisha hata hajafika 40.Ni balaa tu.
May be , lakini kigezo Toka Zamani kilikuwa 3.5Hata hivyo kuna watu wana 3.6, 3.7 undergraduate na wameajiriwa kwenye hivyo vyuo vyako connection inamatter pia☹☹
Mama hata secondary sijafika. Nimeishia la saba B.Open ndo unamaanisha nini?Tulia ulipiwe kodi na GPA yako ya kuunga toka Open
uzuri humu JF hakuna mwenye chini ya upper second. woooote mpo vizuri. nadhani umenielewa
Sasa wewe kama mtu form four kapata one kali, six kapata one kali halafu akaenda St. John na katoka na GPA ya 4 unadhani huy mtu watamuacha kisa kasoma St. John.Mbona kuna wengi tu kutoka vyuo kama st John wana GPA za 4 na zaidi!
Mimi nilidhani wangepaswa kuweka kigezo kingine cha ziada ili kuepuka kuingiza watu wasiostahili ambao ni wengi sana.Kuna wengi wamezipata kishemeji shemeji alama hizo.
Njia ninayopendekeza ni kuwa ifanyike vetting makini na kuwe na forum ambapo wanachuo wataruhusiwa kumpigia kura, kutokana na ubora wake hata kama ana GPA ya 3.5 na mwingine anayo ya 4 kigezo hicho cha pili kipewe nguvu zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alijiloga kwenda kusoma parokianiSasa wewe kama mtu form four kapata one kali, six kapata one kali halafu akaenda St. John na katoka na GPA ya 4 unadhani huy mtu watamuacha kisa kasoma St. John.
na mimi wakifika 2.0 nijulishe
Ni rahisi tu wakati nikiwa kwenye taasisi fulani vetting tuliyokuwa tukiwafanyia new recruits ilikuwa ni kufananisha matokeo yake ya O&A level vs ya chuo then tuna mregard au disregard....kama chuo una 4.0 na o level una III A level III wewe mojakwamoja wahegaMbona kuna wengi tu kutoka vyuo kama st John wana GPA za 4 na zaidi!
Mimi nilidhani wangepaswa kuweka kigezo kingine cha ziada ili kuepuka kuingiza watu wasiostahili ambao ni wengi sana.Kuna wengi wamezipata kishemeji shemeji alama hizo.
Njia ninayopendekeza ni kuwa ifanyike vetting makini na kuwe na forum ambapo wanachuo wataruhusiwa kumpigia kura, kutokana na ubora wake hata kama ana GPA ya 3.5 na mwingine anayo ya 4 kigezo hicho cha pili kipewe nguvu zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio 3.5 kwa zamani ilikuwa ni kwa colleges ambazo zipo chini ya NACTE.Kufundisha namba Ni rahisi kuliko maelezo
May be , lakini kigezo Toka Zamani kilikuwa 3.5
Serikalini kuna colleges and institutes ambazo zipo chini ya NACTE, Hizi vilikuwa vinachukua 3.5, mf DIT, ATC, DMI, etc..Hakuna chuo cha serikali hata kimoja waanachukua 3.5, hiyo ilikua kwa private tu na ndio msingi wa kuhamornise, lakin bado vyuo vya serikali vimebaki hapo hapo na 3.8...with time mambo yatakaa sawa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh okayHio 3.5 kwa zamani ilikuwa ni kwa colleges ambazo zipo chini ya NACTE.
Kwa vyuo vilivyokuwa chini ya TCU ilikuwa ni 3.8
Na ambayo TCU nao sasa hivi wameishusha mpaka 3.5
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu TCU haija badili kigezo chochote kile fatilia hata guidebook iliyokuwa inatumika hapo nyuma GPA ilikuwa 3.5.Hii guideline inaanza kutumika mwaka huu
Hata hivi vyuo wataanza kutumia hizo guidelines
Huu utakuwa hauna tofauti na ubaguzi wa Rangi na kabila 🤣🤣🤣🤣Mkuu TCU haija badili kigezo chochote kile fatilia hata guidebook iliyokuwa inatumika hapo nyuma GPA ilikuwa 3.5.
Hakuna mahali TCU walishatumia 3.8 sasa unaposema wameshusha vigezo kutoka 3.8 hadi 3.5 utakuwa unapotosha.
Hiyo 3.5 ni minimum entry wameweka hivyo kuregulate hata vyuo vya private, kwamba wakipiga msako wakute kila mkufunzi ameanzia gpa ya 3.5 kupanda juu
Lakini vyuo vikubwa vitabaki na utaratibu wake ule ule wa 3.8 kupanda juu. Usijeshangaa baada ya miaka kadhaa ukaona udsm,sua,muhas,udom wanataka gpa ya 4
Jaribu kuangalia hata kigezo cha kudahili wanafunzi chuoni TCu wanahitaji Credit mbili. Lakini rudi ulinganishe ni vigezo vya chuo utaona tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Jane hebu tuelekezane hiyo mitaa na siye tuje..Watu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha
Kwani waanzilishi wa elimu hapa nchini ni wakina nani? Wewe hujui kuwa mfumo wa Seminary ndio hutumika kwa vyuo vya taasisi za kidini hasa Romani Catholic, hivi kuna watu wenye mfumo mzuri wa elimu kama Roman Catholic?Alijiloga kwenda kusoma parokiani