Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Watu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha
Kinachokubeba ni hio surname tu, baba yako mwenyewe si Fisadi papa unakosaje mkondo wa kukuingizia 3M ndani ya week aisee!
 
3.4 mpaka Leo hii GPA inauma sana point moja nimeshindwa kuipata niwe first upper class...kama hapa tena ajira ya uhakika isiyo na mambo mengi imenipita kushoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha tu, kukosa point moja ili kufuzu vigezo vya upper second inauma kixenge yani maumivu yake ni zaidi ya kutenguliwa na jiwe
 
Mkuu acha tu, kukosa point moja ili kufuzu vigezo vya upper second inauma kixenge yani maumivu yake ni zaidi ya kutenguliwa na jiwe
Mkuu sio mchezo nimejiona boya sana kupiga msuli kote nimekuwa lower second class ...nikiangalia cheti chozi upande wa kushoto linanidondoka nakosa raha msuli wa tembo nikiukumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chibu ana GPA ya ngapi? Analipia watu 500 kodi wakati Prof. Wa SUA anahangaika lab na utafiti wa mboga za mnafu kwa ujira wa 4 (gross) kwa mwezi.

Ndio kimbilio lenu kila siku.
Kila mnapotaka kuelezea kuwa mtu unaweza kutoboa bila kupiga sana shule na kuajiriwa wote mnakimbilia kumtolea mfano Diamond Platnumz.

Kuna wadau juzi waliuliza hapa bongo kuna akina Diamond wangapi?
 
Chibu ana GPA ya ngapi? Analipia watu 500 kodi wakati Prof. Wa SUA anahangaika lab na utafiti wa mboga za mnafu kwa ujira wa 4 (gross) kwa mwezi.
Kina Chib wapo wangapi ?Bora ma prof wapo wengi na mishahara japokuwa midogo ila wana uhakika wa kuishi maisha standard. Chib mziki ukiisha hata hajafika 40.Ni balaa tu.
 
mhh issue sio hiyo GPA issue ni kusikia hiyo nafasi ikitangazwa, na hata ikitangazwa bado kuna watu watakua washaandaliwa
 
Kina Chib wapo wangapi ?Bora ma prof wapo wengi na mishahara japokuwa midogo ila wana uhakika wa kuishi maisha standard. Chib mziki ukiisha hata hajafika 40.Ni balaa tu.
Haiwezi kuwa balaa maana ana salio la kutosha bank. Kwa hesabu za viinua mgongo vya maprofessa hashindwi kuwalipia wastaafu hata 20 mafao yao na stahiki zao.

Achilia tofali anazomiliki maeneo mbali mbali ya bongo DSM. That Nigga ballin so hard wacha apush VX V8 zake hamna namna. Kama mziki ungekuwa raihisi wote tungeimbaga.
 
Show off tu. Ngonja kuimba kuishe ndo utajua alikuwa anamiliki nini na nini ?Hayo magari showoff tu. Mwambie aonyeshe Card za gari.
 
Back
Top Bottom