TCU imebadilishia course applicants..go and check NOW!

nadhani ni mimi peke yangu kumbe tupo wengi, mi nimeshituka, nikadhani kuna mtu kaiba password zangu nakunibadilishia course, mi nimesoma hkl, wananipangia course za biashara na divinity ambazo sikuomba kabisa alafu na vyuo walivyonichagulia sijaomba ata kimoja.
 
nahisi kama naota coz siamini kinachoendelea kwenye profile yangu tcu
 
mi nimexoma ECA WAMENIPACHIKIA BA ENGLISH NA SUA ETI,PAMOJA NA PSYCHOLOGY.SIELEWI HAWA JAMAA VP
Tatizo Mkuu wa TCU ameshaingia kwenye siasa yeye ndiye aliyependekeza matokeo ya Kidato cha Nne yafutwe na kupangwa upya. Muda mwingi anatumia kukosoa utendaji wa Wizara na taasisi nyingine lakini amesahau kuwa hata kwake kuna uozo mkubwa sana. Sasa hiyo kuparaganyua maombi ya watu ni ushahidi kuwa Prof Mchome amepoteza mwelekeo anashindwa kusimamia kazi zake ipasavyo anaishia kutoa mapendekezo ya ajabu kuhusu elimu yetu
 
aahaaa! nimekumbuka..... ni kwa sababu Obama anakuja ndo maana wanafanya hv
 
AAAA NIMESOMA ECA WAMENIREKEBISHIA wamENIPA BACHELA YA ELECTICAL ENGENEERING NA ELIGBILITY WAMEWEKA YES,ILA PIA WAMENIWEKEA ENGLISH AND FRENCH UDOM ALAF WAMEWEKA YES.NGOJA NIWAPIGIE SIM
 
me nimecoma EGM wameniwekea mechanical engener UDSM cwaelew hawa jamaa mbna
 
Ni sahihi dogo,kama unasomea ualimu wa geografia wala hawajakosea
 
IMERUDI KAMA MWANZO JAMANI. . .angalia sa ivi. .mpoleni wame wa pressurelised.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…