dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,149
loading........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
japo nilimepiga hkl wamenipa bach ya computer science
Tatizo Mkuu wa TCU ameshaingia kwenye siasa yeye ndiye aliyependekeza matokeo ya Kidato cha Nne yafutwe na kupangwa upya. Muda mwingi anatumia kukosoa utendaji wa Wizara na taasisi nyingine lakini amesahau kuwa hata kwake kuna uozo mkubwa sana. Sasa hiyo kuparaganyua maombi ya watu ni ushahidi kuwa Prof Mchome amepoteza mwelekeo anashindwa kusimamia kazi zake ipasavyo anaishia kutoa mapendekezo ya ajabu kuhusu elimu yetumi nimexoma ECA WAMENIPACHIKIA BA ENGLISH NA SUA ETI,PAMOJA NA PSYCHOLOGY.SIELEWI HAWA JAMAA VP
mi nimexoma ECA WAMENIPACHIKIA BA ENGLISH NA SUA ETI,PAMOJA NA PSYCHOLOGY.SIELEWI HAWA JAMAA VP
mi nimexoma ECA WAMENIPACHIKIA BA ENGLISH NA SUA ETI,PAMOJA NA PSYCHOLOGY.SIELEWI HAWA JAMAA VP
japo nilimepiga hkl wamenipa bach ya computer science
aahaaa! nimekumbuka..... ni kwa sababu Obama anakuja ndo maana wanafanya hv
Sasa kuna kosa gani hapo kama ni ualimu wa jiografia je?hawajisomi hawa mi nimesoma CBG wameniwekea ba in education!